- Operates in Tanzania Mainland,
- We strive to unite the society in a state of equality and justice
BHASSA TANZANIA is looking for young people aged 18 to 35 years, living in Morogoro Municipal Council to fill in the available internship job vacancies: Programs Manager as well as Human Resource and Administration Manager
Taasisi ya BHASSA TANZANIA inatoa fursa ya kazi za kujitolea kwa vijana wenye umri kati ya miaka 18 hadi 35 ambao wanaishi katika halmashauri ya manispaa ya Morogoro kuomba nafasi mbili za ajira ambazo ni Meneja Miradi na Meneja Muajiri na utawala
Applicants should meet the given criteria (Muombaji awe na sifa zifuatazo) :
If you are eligible candidate and interested please fill in the form correctly before 15th February, 2025.
Kama umekidhi vigezo tajwa hapo juu na upo tayari kuomba nafasi moja wapo basi jaza fomu ya maombi hapo chini kwa usahihi kabla ya tarehe 15/02/2025.